ADVERTISEMENT

Ibraah – Nitachelewa

Ibraah – Nitachelewa

A Music Worldwide singer, Ibraah drops out a new masterpiece track titled, Nitachelewa.

ADVERTISEMENT

The B Boy Beats-produced song, “Nitachelewa” comes after his debut project, ‘Steps‘ EP released under Konde Music Worldwide.

The new single, “Nitachelewa” serves as his latest single and his first official single this month.

Listen and share your thoughts below!

How to Make $100 or More Online Daily

DOWNLOAD MP3

Nitachelewa Lyrics by IBRAAH

Aah uuh ooh . Ooh Chinga
Aaah… Aah uuh ooh (B Boy Beats) yeah!

Sijui hata nifanyeje
Sijui ata nifanyeje nini me
Maana ata siamini
No ow ooho
Nilikula kiapo nikungoje
Ila baado haingii akilini
Maana nishakula ya miniyawe

Eh
Kwa mashogazo  ulichota mafumbo
Ngoja ngoja inaniumiza tumbo
Masikini umeshafata
Mkumbo Yaani umesepa
Umeziacha zimejaza na rundoo
Na una ponda yangu fupi nyundo
Eti unanigong’a Tajiri wa uvundo
Ndio chanzo umeniteka ah

Na ninaimani nitajijengea
Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya
Maana before nilitimia
Leo uwe mfano wa bandama  umebanduka
Labda yangu nyota Imefifia
Wamekuteka wewe ah we ah
Simanzi imenilemea shilingi imepimduka
Kama usiporudi

Nitachelewa (ooh uu ooh)
Kupona nitachelewa
Ah nitachelewa mama
Nitachelewa
Kupona nitachelewa
Kupona maradhi ya moyo
Nitachelewa (yeah) Kupona nitachelewa
Kama si wewe nani tena
Nitachelewa, kupona nitachelewa
Nitachelewa mama

Aah.. uhmm yeah yeah  oooh . Yeah

Mi najaribu kujisahaulisha
Ila moyo unagoma, unagoma
Hasa nikikumbuka
Zako methali na nahau
Japo unanionyesha dharau
Moyo hautaki komaa kukoma
Mwingine staki penda
Na usidhani ka nitakusahau
Ooh maana
Vita penzi lako ntapigana
Nikiamini utarudi we changama
Maana siko sawa ujue
Mkuki kwa mguruwe
Kwa binadamu mchungu , Wanaogombana

Siku zote ndio wanaopatana
Ama unapenda mii ninavolalama
Sijuiu nilipokosa ujue
Na malengo ujue
Mi najua wewe langu fungu
Na nina imani nitajijengea
Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya
Maana before nilitimia
Leo uwe mfaano wa bandama umebanduka

Labda yangu nyota Imefifia wamekuteka
We hayaa we hayaa
Simanzi imenielemea shilingi imepinduka
Kama usiporudi

Nitachelewa (ooh uh o)
Kupona nitachelewa
(Ah nitachelewa mama)
Nitachelewa
Kupona nitachelewa
Kupoona maradhi moyo
Nitachelewa (yeah)
Kupona nitachelewa
(kama sio wewe nani tena)
Nitachelewa (oh na)
Kupona nitachelewa
Nitachelewa mama

Chinga, Konde Muisc Worldwide
Yeah yeah yeah yeah

 

How I Make $1.3M/Year With My One-Person Business (Just Copy Me) – Sara Finance

Check out: South African Songs

Do you find Val9ja useful? Click here to give us five stars rating!

More
 

Join the Discussion

No one has commented yet. Be the first!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *